Kamati ya Ulinzi na Usalama yapiga kambi katika Mgodi wa Dhahabu

Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Iramba Mkoani Singida imelazimika kupiga kambi katika Mgodi wa Dhahabu wa Sekenke kusaidia zoezi la kutoa miili ya watu wawili waliofukiwa na udongo kwenye machimbo yaliyopo kwenye mgodi huo.
Watu hao wawili ni kati ya watu watano waliofukiwa na udongo kwenye machimbo hayo takribani wiki moja iliyopita walipokuwa kwenye harakati za kuchimba dhahabu kwenye mgodi huo uliachwa na wakoloni miaka 82 iliyopita.

Image may contain: 2 people, crowd and outdoor
First