Bodi ya Filamu wametoa mchango kwa Wastara Juma January 21, 2018 Habari Bodi ya Filamu Tanzania kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa wametoa mchango wa kiasi cha shilingi Milioni moja kwa Msanii Wastara Issa kwa ajili ya kumwezesha kupata matibabu ya mguu wake. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+