Mgombea Ubunge wa Kinondoni (CCM) Awaomba Msamaha wanaCCM

Mgombea Ubunge wa Kinondoni (CCM) Maulid Mtulia, leo amewaomba msamaha wanachama wa CCM, kwa ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 akiwa CUF 

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing, crowd and outdoor