Breaking News: Polisi wazima tukio la Ujambazi wa kuvamia kiwanda na Silaha za ya kivita.

Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi katika kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania)

Aidha Majambazo hayo yametimua na kutelekeza Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 iliyokuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya CHADEMA pamoja na Pikipiki aina ya SANLG