Magufuli ametumbua mwingine baada ya kufanya ufisadi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
Image may contain: 1 person