Hukumu ya Scorpion mtoboa macho hii Hapa

HUKUMU: Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu Salum Henjewele maarufu 'Scorpion’ aliyetuhumiwa kumchoma kisu na kumtoboa macho, Saidi Mrisho, kwenda jela miaka saba na kulipa fidia ya shilingi milioni 30 kwa kosa la kujeruhi na wizi.



Image may contain: 4 people, people smiling, people standing, tree and outdoor
Hatimaye Salum Njwete maarufu kama 'Scorpion mtoboa macho' ahukumiwa kwenda jela miaka 7 kwa kosa la kumjeruhi na kumtoboa macho Said Mrisho. Mahakama imemuamuru mshitakiwa pia kulipa faini ya shilingi 30 milioni kama fidia kwa majeruhi huyo. Image may contain: 5 people, people standing