Ajali ya basi la kampuni ya Tahmeed coach imetoka muda huu

Ajali ya basi la kampuni ya Tahmeed coach imetoka muda huu maeneo ya Kitumbi, basi hiyo inafanya safari za Mombasa Dar es salaam. Kuna majeruhi wengi katik ajali hiyo. Taarifa kamili tutakupatia kadiri tutakapozipata kuhusu madhara zaidi kwa abiria. Mapema Jumatatu ya wiki hii, basi jingine la kampuni hii ilipata ajali ya kuungua kwa moto.

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor