Mkwe wa Trump, Jared Kushner aondolewa hadhi ya kushiriki vikao vya juu vya usalama

Mkwe wa Trump, Jared Kushner aondolewa hadhi ya kushiriki vikao vya juu vya usalama.
Taarifa za vyombo vya habari vya Marekani vimedai uchunguzi sababu iliyopelekea kuondolewa hadhi hiyo ni kutokukamilika kwa uchunguzi wa kina juu ya historia yake.
Jared Kushner ni mmoja wa washauri wa juu wa rais Trump kwenye masuala ya usalama.
Image may contain: 2 people, people standing