Rais Magufuli Ameondoka Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo ameondoka nchini kuelekea Kampala nchini Uganda kushiriki mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika ya Mashariki Image may contain: 3 people, people standing and suit