BREAKING Watu 11 wamefariki kwa ajali ya Hiace na lori

BREAKING Watu 11 wamefariki na watano kujeruhiwa baada ya Hiace kugonga Magari mawili ya mizigo huko Nyangozi kata ya Nyantakara Biharamulo Kagera, Polisi wamethibitisha mchana huu.