Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kigoma

 mjini, Mh. Zitto Kabwe kwa madai barua yake ya maombi haijakidhi vigezo kulingana na Sheria. Mbunge huyo amelaani hatua hiyo na kusema atamwandikia barua Spika wa Bunge ili lisijirudie kwa Mbunge mwengine.Image may contain: 4 people, people sitting