Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Mwenzake watiwa Mahabusu

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wamepelekwa mahabusu katika gereza la Ruanda baada ya Wakili wa Serikali Joseph Pande kuiomba mahakama kuzuia dhamana kutokana na usalama wa washtakiwa - Mtanzania

Image may contain: 1 person, smiling