Kanuni na sheria za uchaguzi zilizopo zinajitosheleza - Jaji Semistocles Kaijage

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini -NEC Jaji Semistocles Kaijage amesema kanuni na sheria za uchaguzi zilizopo zinajitosheleza kutatua changamoto zinazojitokeza katika chaguzi ndogo.
Akizungumza katika mkutano wa NEC na viongozi wa vyama vya siasa juu ya maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Majimbo matatu na Kata sita unaotarajiwa kufanyika Tarehe 13 mwezi huu Jaji Kaijage amesema tatizo lililopo ni wanasiasa kutofuata utaratibu wa kisheria katika kutatua changamoto hizo.

Image result for semistocles kaijage
Jaji Semistocles Kaijage