Mohamed Salah ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2017

Nyota wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya Liverpool - Mohamed Salah ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2017 katika sherehe za utoaji tuzo zilizofanyika usiku wa tarehe 4 Januari nchini Ghana.
Salah mwenye umri wa miaka 25 amempiku nyota mwenzake wa Liverpool - Sadio Mane raia wa Senegal pamoja na nyota wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Gabon - Pierre Emerick Aubameyang.

Image may contain: 3 people, people standing and suit
Mohamed Salah (Katikati)

Image may contain: 1 person, smiling, standing
Mohamed Salah