Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru

Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam. 

Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
Hali ya Mzee Kingunge inaendelea vizuri. Tumia nafasi hii kumtakia afya njema Mzee Kingunge

Image may contain: one or more people and indoor