UBADHIRIFU WA FEDHA ZA WAKIMBIZI

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Uganda limejitetea kutohusika katika sakata lililoikumba sekta hiyo ya wakimbizi nchini.
Zaidi ya shilingi bilioni moja za kusaidia wakimbizi zinadaiwa kupotea na maafisa wanne katika Idara ya Wakimbizi Ofisi ya Waziri Mkuu wamesimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea.
Image may contain: 5 people, people smiling, crowd, shoes and outdoor